Skip to main content
Class Year:
Major:

My name is Wanjiru Mwathi. I am from a small town in Kenya called Nakuru. I speak Swahili, my first language, Kikuyu, and English.

I love cooking. My favorite food is matoke and nyama choma. Back home, I always longed to prepare dishes with my family because it always brought us together.

Cultural heritage holds a special place in my heart. I love travelling to countries that are rich in upholding their positive cultural beliefs as I enjoy learning about other people’s traditions. I am deeply rooted in my Kikuyu culture, and I love showcasing it whenever I get the chance to.

I enjoy working with numbers and my goal is to work with data, whether in finance or statistics, to identify problems that face my society, and solve them.

My greatest value is kindness to myself and to others, and I try to live by this every day.

Swahili

Jina langu ni Wanjiru Mwathi. Nimelelewa kwenye jiji ndogo la Nakuru. Ninazungumza Kikuyu, ambayo ni lugha ya mama, Swahili na Kiingereza.

Napenda kupika. Chakula ninachokifurahia zaidi ni mokimo na nyama choma. Nilifurahia sana kupika chakula nyumbani kwani ilinileta mimi na familia yangu pamoja.

Kuona mila na tamaduni bora zikifuatiliwa katika jamii hunipa raha moyoni. Hivyo basi, napenda kuzuru nchi zinazotilia mkazo tamaduni zao kwani mimi hufurahia kujifunza wanachoamini. Mimi ni mkikuyu halisi na ninapenda kuonyesha mila zetu bora kila ninapopata nafasi.

Nina furaha kufanya kazi inayohusu nambari na hisabati, na nina motisha ya kuitumia kwa sekta ya fedha kutatua matatizo yanayoadhiri jamii yangu.

Ninachothamini sana ni kuwa mwema kwa wenzangu na kwangu mwenyewe. Mimi hujaribu kufanya hivi kila kuchao.

Profile Picture

-0.31581240588534, 36.0788604

Which languages do you speak?
Kikuyu, Swahili, and English

Share: