Skip to main content

My name is Kevin Koech and I was born in Nairobi, Kenya. I currently attend St. Lawrence University and I plan to major in Computer Science during my time here. I speak two languages fluently; English and Swahili. I picked up a bit of Turkish during my first years of high school but I cannot say that I am fluent at it. My favorite sports are Basketball and soccer and I enjoy watching as well as playing them.

I was born and raised Christian, and I strongly believe in the values it teaches such faith and righteousness. My philosophies in life are “Greatness from small beginnings” and “I am a man of fortune; I will seek my fortune”. Personally, I believe that anyone who has such a mentality is bound to succeed in life.

My favorite meal is Chapati with a side of marinated chicken. This is the one meal that I could have everyday for the rest of my life.

 

Kiswahili

Jina langu ni Kevin Koech na nilizaliwa jijini Nairobi, Kenya. Kwa sasa, ninahuhudhuria chuo kikuu cha St. Lawrence University na mpango wangu kubwa ni katika Sayansi ya Kompyuta. Mimi ni mzungmzaji fasaha wa lugha ya Kiswahili na Kiingereza. Zaidi ya hayo nilijifunza Kituruki kidogo mwaka wangu wa kwanza katika shule ya upili lakini siwezi kusema kwamba mimi ni gwiji. Michezo ninayoipenda sana kutazama na kucheza ni mpira wa kikapu na kandanda.

Nilizaliwa na kulewa kuwa Mkristo, dini inayofunza maadili muhimu kama imani na wema. Falsafa yangu ya maisha ni “mafanikio huanza na mwanzo mdogo” na “mimi ni mwandamu wa mafanikio na nitayatafuta". Binafsi, ninaamini kwamba mtu yeyote ambaye ana mawazo kama haya hawezi kushindwa na maisha.

Ninapenda mno chapati kwa kitoweo cha kuku. Hivi vyakula ninaweza kuvikula maishani mwangu mwote.

Profile Picture

-1.3039054248928, 36.87741245

Image
chicken dish
Image
family

Share: