My name is Wanjiru Mwathi. I am from Nakuru, a small town in Kenya. I speak English and Swahili.
I enjoy traveling and cooking, as both allow me to explore new experiences in different ways. Traveling allows me to discover new places and perspectives, while cooking allows me to be creative and bring people together through food. Back home, I enjoyed travelling and cooking with my family because it always brought us together.
I enjoy working with numbers, and my goal is to work with data, whether in finance or statistics, to create individual and societal impact.
My greatest value is kindness to myself and to others, and I try to live by this every day.
Swahili
Jina langu ni Wanjiru Mwathi. Ninatoka Nakuru, mji mdogo nchini Kenya. Nazungumza Kiingereza na Kiswahili.
Ninapenda kusafiri na kupika, kwani vyote vinaniruhusu kugundua dunia kwa njia tofauti. Kusafiri hunipa fursa ya kugundua maeneo mapya na mitazamo mipya, na kupika kunaniruhusu kuwa mbunifu na kuwaleta watu pamoja kupitia chakula. Nikiwa nyumbani, nilifurahia kusafiri na kupika pamoja na familia yangu kwa sababu ilituleta pamoja kila wakati.
Ninapenda kufanya kazi na nambari, na lengo langu ni kufanya kazi na data, hasa inayohusu fedha, ili kuboresha watu kwenye kwa jamii.
Thamani yangu kuu ni kuwa na wema kwangu mwenyewe na kwa wengine, na ninajitahidi kuishi kwa kuzingatia hilo kila siku.