Skip to main content
Class Year

My name is Wanjiru Mwathi. I am from a small town in Kenya called Nakuru. I speak Kikuyu, my first language, Swahili and English, and I am currently learning Spanish.

I love cooking. My favorite food is mokimo and barbecue chicken. Back home, I always longed to prepare dishes with my family because it always brought us together.

Cultural heritage holds a special place in my heart. I love travelling to countries that are rich in upholding their positive cultural beliefs as I enjoy learning about other people’s traditions. I am deeply rooted in my Kikuyu culture, and I love showcasing it whenever I get the chance to.

Growing up in a place with poor health services, my end goal is to make progressive changes in the healthcare system in Kenya.

My greatest value is kindness to myself and to others, and I try to live by this every day.

Swahili

Jina langu ni Wanjiru Mwathi. Nimelelewa kwenye jiji ndogo la Nakuru. Ninazungumza Kikuyu, ambayo ni lugha ya mama, Swahili na Kiingereza. Sasa hivi najifunza Spanish.

Napenda kupika. Chakula ninachokifurahia zaidi ni mokimo na kuku. Nilifurahia sana kupika chakula nyumbani kwani ilinileta mimi na familia yangu pamoja.

Kuona mila na tamaduni bora zikifuatiliwa katika jamii hunipa raha moyoni. Hivyo basi, napenda kuzuru nchi zinazotilia mkazo tamaduni zao kwani mimi hufurahia kujifunza wanachoamini. Mimi ni mkikuyu halisi na ninapenda kuonyesha mila zetu bora kila ninapopata nafasi.

Kulelewa mahali kulikokuwa na changamoto ya kupata afya bora kumenipa motisha ya kuwa mtaalamu katika sekta hiyo ili niweze kuleta mabadiliko maendelezi katika nchi ya Kenya.

Ninachothamini sana ni kuwa mwema kwa wenzangu na kwangu mwenyewe. Mimi hujaribu kufanya hivi kila kuchao.

Profile Picture

-0.31581240588534, 36.0788604

Which languages do you speak?
Kikuyu, Swahili, English, and Spanish

Share: